
Karibuni wote kwenye Tovuti ya Nyenzo na Machapisho ya Kiafya Katika Lugha ya Kiswahili. Shirika la Hesperian kwa kushirikiana na COBIHESA na wadau wengine wa kujitolea linaanzisha Tovuti Moja mahali ambapo unaweza kupata miongozo yetu kwa jamii juu ya afya na nyenzo zingine za afya katika Kiswahili. Unaweza pia kuweka katika Tovuti hii machapisho na nyenzo zako mbalimbali za kuendeleza afya ya jamii kama vile vipeperushi, mabango, na vingine ambavyo umetengeneza kutokana na miongozo yetu ili kuwashirikisha na kuwanufaisha wengine. Iwapo unataka kushiriki au kujifunza zaidi juu ya juhudi hii, tafadhali wasiliana nasi kupitia [email protected]
Resources in Swahili
Welcome to the Swahili language hub. Hesperian is working with COBIHESA and other volunteers to create a central place where you can find our community health guides and other materials in Swahili. This hub is partially funded by the Knowledge for Health (K4H)/USAID. You can also share your own flyers, posters, and other adaptations of our health materials—if you would like to get involved or learn more about this initiative, please contact us at [email protected]
Mwongozo wa Jamii juu ya Afya ya Mazingira
Kimetafsiriwa na COBIHESA
Mwongozo huu umebeba taarifa, shughuli na maelekezo kuhusu teknolojia mbalimbali rahisi ambazo zinaweza kuwasaidia waelimishaji wa afya, wanaharakati wa mazingira, na viongozi wa jamii kuchukua hatamu ya afya ya mazingira yao.
A Community Guide to Environmental Health, translated by COBIHESA
PAKUA KUTOKA MTANDAONI (PDF)
|
WASILIANA NASI: (CONTACT)
Toleo Jipya: Mahali Pasipo na Daktari
Kimetafsiriwa na COBIHESA
Mwongozo maarufu wa kiafya ambao unatumiwa sana na wafanyakazi wa afya waelimishaji, na wengine katika ngazi ya jamii ambao wanajishugulisha na huduma ya afya ya msingi dunia nzima. Toleo hili jipya linajumwisha taarifa za kisasa juu ya malaria, VVU, na matatizo mengine ya kiafya.
Advance chapters of the NEW Where There Is No Doctor, translated by COBIHESA
SOMA MTANDAONI (WIKI)
|
WASILIANA NASI: (CONTACT)
Juhudi za Afya kwa Wanawake
Kimetafsiriwa na COBIHESA
Mwongozo huu unajumuisha shughuli, mikakati, na visamafunzo ambavyo vinalenga kukabiliana na vurugu dhidi ya wanawake, kuboresha upatikanaji wa huduma za uzazi wa mpango, kukuza uzazi salama, kuhimiza mikakati ya uboreshaji wa afya ya kingono, kupambana dhidi ya majukumu kandamizi ya kijinsia, na kuboresha huduma za afya kwa wanawake na wasichana.
Advance chapter of the Swahili edition of Health Actions for Women
SOMA MTANDAONI (WIKI)
Pale ambapo Wanawake hawana Daktari
Kimetafsiriwa na COBIHESA
Mwongozo muhimu ambao unasaidia jamii kuelewa, kutibu, na kuzuia matatizo mengi ya afya ambayo huwaathiri wanawake. Mada zilizomo ni pamoja na afya ya uzazi, vurugu, afya ya akili, VVU, na nyinginezo.
Advance chapter of the Swahili edition of Where Women Have No Doctor
SOMA MTANDAONI (WIKI)
A Community Guide to Environmental Health
- Moduli 2: Tuhifadhi Maliasili kwa ajili ya Manufaa ya Wote
Moduli hii inatoa nyenzo na mikakati mbalimbali kwa ajili ya kulinda rasilimali ya maji ya jamii, misitu na afya ya udongo, na kuonesha jinsi gani matumizi yasiyoendelevu ya maliasili yanavyoathiri afya ya mazingira ya jamii na riziki zao.
The module provides tools and strategies to protect community water resources, forestry and soil productivity, and shows how unsustainable use of natural resources impacts community environmental health and livelihoods.
Karibuni kwenye jukwaa la kushirikiana na kubadilishana nyenzo na machapisho kuhusu afya ! Hapa utapakua nyenzo na machapisho mbalimbali katika Kiswahili kutoka mtandaoni bila malipo au kikwazo, vikiwemo vipeperushi na mabango ili kukidhi mahitaji ya wafanyakazi wa afya, waelimishaji na wawezeshaji katika ngazi ya jamii. Na wewe unaweza kujifunza kutokana na Maktaba yetu ya Kidijitali, na pia Tovutiwazi Shirikishi ya Afya –HealthWiki, kutengeneza vipeperushi, mabango na vifaa vingine.
Welcome to the Health Materials Exchange! Here you will find free newsletters, pamphlets, flyers, and posters related to various topics in health in Swahili created by organizations and individuals. These materials are not produced by Hesperian Health Guides.
Congratulations to our Swahili Health Materials Contest winners! Dr. Emmanuel J. Kandusi of Tanzania 50 Plus Campaign; Helen Mtui of the Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS); and the Ecumenical Pharmaceutical Network submitted winning materials, as selected by our Tanzanian evaluation team. Thank you to everyone who submitted!
 | English Title: Health risks of women's beauty products Topics: Chemicals and health Submitted by: Clifford Majani, NIMR-Mbeya Medical Research Centre |
 | English Title: Dental health Topics: Dentistry Submitted by: Helen Mtui, Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) |
 | English Title: Health risks of hair relaxer Topics: Chemicals and health Submitted by: Clifford Majani, NIMR-Mbeya Medical Research Centre |
 | English Title: Dengue fever Topics: Dengue fever Submitted by: Helen Mtui, Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) |
 | English Title: Cervical Cancer Topics: Cancer Submitted by: Helen Mtui, Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) |
 | English Title: Midwife Training booklet Topics: Giving birth Submitted by: Linda Presser, Karimu International Help Foundation |
 | Kukabiliana na usugu wa dawa - Moja, Mbili, TatuEnglish Title: Coping with Drug Resistance (3 comic books) Topics: Drug resistance Submitted by: Martin Namasaka, Ecumenical Pharmaceutical Network (EPN) |
 | English Title: Non-communicable diseases guidelines for health workers Topics: Non-communicable diseases Submitted by: A.B.M Swai, Tanzania Diabetes Association |
 | English Title: Non communicable diseases (flier) Topics: Non-communicable diseases Submitted by: A.B.M Swai, Tanzania Diabetes Association |
 | English Title: English / Swahili medical glossary Topics: Medical terminology Submitted by: School of Health Sciences, University of Kabianga |
 | English Title: Express milk banner Topics: Infant care, child nutrition Submitted by: Helen Mtui, Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) |
 | English Title: Medical aid films Topics: Newborns, health Submitted by: Josie Gallo, Medical Aid Films |
 | English Title: Lifestyle and non communicable diseases Topics: Lifestyle Submitted by: A.B.M Swai, Tanzania Diabetes Association |
 | English Title: Reasons for declining lifespan among men Topics: Male health Submitted by: Editha Tairo |
 | English Title: Sexually transmitted infections Topics: STIs Submitted by: Josephine Kayungilizi, PSI |
 | English Title: Condom use Topics: Condom use Submitted by: Josephine Kayungilizi, PSI |
 | English Title: Prostate cancer Topics: Prostate cancer Submitted by: Dr. Emmanuel J. Kandusi |
 | English Title: Cycle bead instructions Topics: Family Planning, Contraception Submitted by: Sophie Savage, Institute for Reproductive Health at Georgetown University |
 | English Title: Parkinson's disease Topics: Parkinson's disease Submitted by: Jolynne Mokaya, Kenyatta National Hospital |
 | English Title: Blindness in old age Topics: Blindness Submitted by: Helen Mtui, Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) |
Sehemu hii bado inaandaliwa. Tafadhali wasiliana nasi kupitia [email protected] kama ungependa kushiriki au kuchangia kazi hii. ([email protected]).
This section is still in progress. Please contact us at [email protected] if you would like to get involved or help support this work.